Twende app for iPhone and iPad


4.2 ( 2112 ratings )
Navigation Travel
Developer: Twende Technologies Ltd
Free
Current version: 1.0, last update: 1 year ago
First release : 28 Dec 2022
App size: 125.7 Mb

Omba usafiri upate dereva ndani ya dakika chache kupitia Twende. Tunakupa chaguo la usafiri wa aina tatu, Gari , Bajaj au Bodaboda, yoyote inayokidhi haja yako.
1. Pakua Twende bure, kisha kamilisha usajili
2. Twende ina uwezo wa kutambua eneo ulilopo, kazi yako ni kutaja unapotaka kwenda, kisha uanze kuomba usafiri
3. Unaweza kuangalia eneo alilopo dereva na kadri anavyo kukaribia ,utaweza kutulia na kufurahia safari yako!
4. Mwisho wa safari utaweza lipa nauli yako.

Kwa taarifa zaidi tembelea www.twende.co.tz